Wenyeviti wa mikoa Chadema waja na maazimio saba
Dar es Salaam. Umoja wa Wenyeviti wa Mikoa 31 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umekuja na maazimio ya kuunga mkono kile kilichofanywa na Kamati Kuu juu ya matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Siku hiyo ya uchaguzi kuliibuka maandamano yaliyozua vurugu, uharibifu wa mali na vifo vya…