Ashikiliwa kwa mauaji ya watoto watatu wa familia moja

Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dotto Lubogeja kwa tuhuma za kuwaua watoto watatu wa familia moja kwa kuwanyonga kisha kuiba ng’ombe 15. Imeelezwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kuwakuta watoto hao wakichunga ng’ombe katika eneo jirani na nyumba wanayoishi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema hayo…

Read More

Wavuvi Tanga wasitisha mgomo | Mwananchi

Tanga. Uongozi wa Chama cha Wavuvi Mkoa wa Tanga umetangaza kusitisha mgomo wa kusitisha shughuli za uvuvi uliokuwa umeanza kwa muda usiojulikana, baada ya serikali kukubali kuwapa wavuvi muda wa kujisajili kwenye mfumo mpya wa ulipaji wa leseni kwa njia ya kielektroniki. Akizungumza na Mwananchi Januari 16, 2026 Mwenyekiti wa chama hicho, Bombea Salimu, amesema…

Read More

Mazungumzo Yenye Maana Yanahitaji Msimamo wa Pamoja Dhidi ya Uonevu wa Kijeshi, Kiuchumi na Kidiplomasia – Masuala ya Ulimwenguni.

Credit: World Economic Forum/Gabriel Lado. Chanzo: Amnesty International Maoni na Agnès Callard (london) Ijumaa, Januari 16, 2026 Inter Press Service Agnès Callamard ni Katibu Mkuu wa Amnesty International LONDON, Januari 16 (IPS) – “‘Roho ya mazungumzo’, kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu huko Davos, unaoanza Januari 19, imekuwa ikikosekana katika masuala ya kimataifa hivi karibuni….

Read More

BARRICK BULYANHULU YAPELEKA KICHEKO, TABASAMU LA MAZINGIRA BORA YA KUPATA ELIMU SHULE YA MSINGI SEGESE WILAYANI MSALALA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita (Kushoto) Meneja Mahusiano ya Jamii wa Barrick Bulyanhulu Agapiti Paul (kulia) na viongozi wengine katika uzinduzi wa miradi inayotekelezwa katika shule ya msingi SegeseMkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita (Kushoto) Meneja Mahusiano ya Jamii wa Barrick Bulyanhulu Agapiti Paul (kulia) na viongozi wengine katika uzinduzi wa miradi…

Read More

JWTZ latoa chakula, tiba kuimarisha uhusiano na wananchi

Dar es Salaam. Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Jenerali Sijaona Myalla ameongoza maofisa na askari kutoa misaada ya kibinadamu ikiwemo chakula katika Kitongoji cha Lukenge kilichopo Kijiji cha Kihangaiko, Kata ya Msata Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Msaada huo umetolewa…

Read More