Wazazi Geita waonywa kuozesha, kutumikisha watoto

Geita. Wazazi na walezi ambao hawajapeleka watoto wao kujiunga na kidato cha kwanza katika muhula mpya wa masomo 2026, wametakiwa kufanya hivyo badala ya kuwaozesha katika umri mdogona kuwanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu. Wito huo umetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Geita, Elias Ngole akiwataka wazazi na walezi katika kata hiyo…

Read More

Beki Pamba Jiji takwimu zambeba Championship

BEKI wa kulia wa Pamba Jiji ya Mwanza, Yunus Lema ameshindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kumrejesha kikosini katika dirisha dogo licha ya kuwa na takwimu nzuri katika Ligi ya Championship. Lema anacheza katika klabu ya Mbuni FC ya Arusha aliyojiunga nayo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Pamba Jiji kwa mkopo ili kupata…

Read More

Winga wa Simba atua Uarabuni

SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji la Paralimni aliyoitumikia kwa mkopo, kwa nyota huyo ameibukia Uarabuni kujiunga na Al-Entesar ya Saudi Arabia. Balua anayemudu kucheza winga zote kulia na kushoto huku akicheza pia nyuma ya mshambuliaji, tayari amekamilisha uhamisho…

Read More

Waziri Mkuu kunogesha tamasha la Wabunge Simba, Yanga

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano  wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni rasmi. Tamasha hilo litakaloambatana na burudani na  michuano ya michezo mbalimbali litafanyika Januari 31, 2026 jijini Dodoma. Bonanza hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa ushirikiano na Benki…

Read More

Mgombea upinzani ashinda ubunge akiwa mahabusu

Kampala. Kada wa chama cha National Unity Platform (NUP), Alex Mufumbiro ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa ubunge wa Nakawa Mashariki baada ya uchaguzi uliofanyika Januari 15, 2026, akiwa mahabusu. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uganda hususani TrackNews, matokeo yanaonyesha kuwa Mufumbiro amewashinda wagombea wote waliokuwa wanashiriki kinyang’anyiro hicho. Mufumbiro ni msemaji wa NUP…

Read More

Afariki dunia kwa kuangukiwa jiwe kwenye machimbo

Pemba. Juma Suleiman Juma  (51) mkazi wa Pujini Kibaridi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, amefariki dunia baada ya kudondokewa na jiwe wakati akichimba mawe kwenye machimbo ya Makaani Pujini. Wakizungumza na Mwananchi  leo Januari 16, baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo ambao ni miongoni mwa wakazi wa kijiji hicho walioshiriki shughuli ya…

Read More