Mapya yaibuka mabasi ya Mofat, daladala Mbagala

Dar es Salaam. Wakati Kampuni ya Mofat inayotoa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Kilwa ikiomba daladala ziondolewe katika njia hiyo, wadau na wananchi wamelipinga ombi hilo, wakisema mahitaji ya usafiri ni makubwa kuliko idadi ya mabasi hayo ya mwendokasi. Ombi la Mofat kuhusu kuondolewa kwa daladala linatokana na kile ilichoeleza,…

Read More

Nahodha Twiga Stars agusia kundi WAFCON

BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi hicho, Anastazia Katunzi amesema wanafahamu ugumu na wanakwenda kujipanga. Mashindano hayo yatakayoanza kupigwa Machi 17 hadi April 3 mwaka huu nchini Morocco na Twiga Stars ikipangwa kundi B pamoja na mabingwa wa mwaka…

Read More

Afungwa jela na Jenerali Aliowatetea wakati ICJ Inafungua Kesi ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Myanmar – Masuala ya Ulimwenguni

Aung San Suu Kyi, Waziri wa Muungano wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Muungano wa Myanmar, anahudhuria ufunguzi wa duru ya kwanza ya uchunguzi wa mdomo wa Myanmar katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mwaka 2019. Tangu wakati huo amefungwa jela na majenerali aliowatetea katika mahakama ya ICJ. Picha ya Umoja wa Mataifa/ICJ-CIJ/Frank van…

Read More