Samia: Shirikisheni sekta binafsi kwenye utafiti kupata matokeo chanya
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wahadhiri na watafiti katika Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zanzibar kushirikiana na sekta binafsi ili tafiti zinazofanyika ziwe na matokeo chanya kwa taifa na wananchi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 8, 2026 wakati akifungua majengo ya IMS Zanzibar, ikiwa…