Undeshaji wa taasizi za Wakfu na mchango wake katika huduma za kijamii
Katika maeneo mbalimbali duniani, nchi zinaendelea kubuni na kutumia mbinu mpya za kufadhili maendeleo ya kijamii ili kupanua upatikanaji wa huduma bora. Mojawapo ya mbinu hizo, inayotumika kwa ufanisi nchini Uturuki ni mashirika ya wakfu (vakıf). Mashirika haya yamewekeza kwa kiwango kikubwa katika kwenye huduma jamii, mfano kwenye sekta ya elimu nchini humo, kupitia ufadhili…