Katambi Aagiza Kupunguzwa kwa Urasimu katika Huduma za Biashara
Na Pamela Mollel,Arusha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi, ameiagiza menejimenti ya Wizara pamoja na taasisi zilizo chini yake kupunguza urasimu usio wa lazima kwa kuimarisha sera, sheria na kuboresha mifumo ya usimamizi wa biashara, ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza jijini Arusha Januari…