PPP CENTRE YAELIMISHA WADAU KUHUSU MIRADI YA UBIA NCHINI
KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi ( PPP Centre), kimeendesha mafunzo kwa wafanyabiashara, wawekezaji na maafisa kutoka taasisi za kiserikali katika Halmashauri za Mkoa wa Tanga, kikielimisha juu ya kazi zinazofanywa na kituo hicho. Akizungumza kwenye kikao kazi kilichofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Tanga, kikihusisha makundi hayo, Mkuu wa Kitengo…