Naby Camara amebeba zote | Mwanaspoti
MCHEZAJI mwenye uwezo wa kucheza safu nzima ya ulinzi na kiungo, Naby Camara amefanya kitu cha kipekee kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayokwenda kukamilika Januari 13, 2026 kwa kuchezwa fainali kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Camara anayetumia zaidi mguu wa kushoto kusakata kabumbu, hadi kufikia nusu fainali kabla ya jana haijahitimishwa hatua hiyo,…