Muda Umewadia, Ushindi Wako Uko Kwenye Helikopta Ya Meridianbet
Muda Umewadia, Ushindi Wako Uko Kwenye Helikopta Ya Meridianbet – Global Publishers Home Burudani Muda Umewadia, Ushindi Wako Uko Kwenye Helikopta Ya Meridianbet
Muda Umewadia, Ushindi Wako Uko Kwenye Helikopta Ya Meridianbet – Global Publishers Home Burudani Muda Umewadia, Ushindi Wako Uko Kwenye Helikopta Ya Meridianbet
Kuanzia hapo na kuendelea, Safia alijifunza mapema maana ya kuwajali wengine. Akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi, Safia alianza kusaidia familia mpya zilizowasili kwa kutafsiri kwenye miadi ya daktari na mikutano mingine muhimu, akitumia uzoefu wa familia yake mwenyewe wa kuhama. Sasa, Safia anaongoza Timu Jumuishi ya Wanawake (WIT) kama Mtendaji Mkuu wake – shirika…
*Mapitio ya Umuhimu wa Kiutendaji kwa Kuzingatia Maoni ya Jamii za Ndani HWPL ilifanya vikao vya maelezo kuhusu IRPA (vikao vya awali vya RPA) kuanzia tarehe 3 Januari nchini Tanzania, kama sehemu ya maandalizi ya Chuo cha Kimataifa cha Amani ya Kidini (IRPA) kinachotarajiwa kufanyika tarehe 28 Februari. Mpango huu ulilenga kutathmini namna IRPA itakavyotekelezwa…
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Bw. Duan Campbell (kati kati) akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela (wa tatu kutoka kulia) baada ya kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa kituo cha Watoto Yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoani Geita mwishoni mwa wiki,…
Orodha ya Washindi Golden Globes 2026, Wasanii Nyota Watinga Kwa Mbwembwe – Global Publishers Home Burudani Orodha ya Washindi Golden Globes 2026, Wasanii Nyota Watinga Kwa Mbwembwe
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Dokta Asha-Rose Migiro, kesho tarehe 13.1.2026 anatarajiwa kuhitimisha ziara yake ya kimkakati katika wilaya ya Ilala, mkoani Dar es salaam, kwa kuzungumza na Mabalozi wa mashina. Ziara ya Dokta Migiro iliyobeba kauli mbiu isemayo ShinaLakoLinakuita, tayari imeshafanyika katika wilaya ya Temeke, Kigamboni, Ubungo na Kinondoni na kesho itafanyika wilayani…
Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji – Global Publishers Home Habari Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba karibu miaka mitatu ya ghasia endelevu, vikwazo vya upatikanaji wa misaada ya kibinadamu na kupungua kwa ufadhili kumeisukuma Sudan katika kile wanachoeleza kuwa dharura kubwa zaidi ya kibinadamu duniani. Takriban watu milioni 33.7 – karibu theluthi mbili ya idadi ya watu – wanatarajiwa kuhitaji msaada wa kibinadamu mwaka…
Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026 – Global Publishers Home Ajira Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026
PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali – Global Publishers Home Ajira PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali