Watano kuipa mzuka Bunda Queens

KOCHA Mkuu wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema ili kukiongezea nguvu kikosi chao kwenye Ligi Kuu ya Wanawake, watawapandisha wachezaji wao watano kutoka kwenye kituo chao cha kukuza vipaji vya soka (Bunda Queens Program). Timu hiyo Desemba 13, 2025 ilikumbana na adhabu ya kupokonywa pointi tano, kutozwa faini ya Sh5 milioni na mwenyekiti wake kufungiwa…

Read More

Geita Gold ugenini safi, nyumbani mmh!

GEITA Gold ni timu tishio msimu huu kwenye Ligi ya Championship ikiwa kileleni katika mbio za kupanda daraja, lakini licha ya makali yake hayo, uwanja wa nyumbani Nyankumbu umekuwa ukiwapa presha wachezaji na kujikuta wakiangusha alama sita mpaka sasa. Timu hiyo haijapoteza mchezo wowote wa ligi, ikikamata nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya michezo…

Read More

Kiungo Simba atua Mbeya City

KIUNGO wa Simba aliyekuwa anacheza kwa mkopo Mashujaa, Omary Omary amekamilisha usajili wa mkopo wa miezi sita kuitumikia Mbeya City. Omary ambaye alijiunga na Simba akitokea Mashujaa na baadaye kurudishwa kwa mkopo ameliambia Mwanaspoti kuwa ni kweli amemalizana na City kwa mkopo wa miezi sita anaamini huko atapata wakati mzuri wa kucheza. “Ni kweli namalizia…

Read More

Mapinduzi Cup yaiamsha ZFF | Mwanaspoti

OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Mohamed Kabwanga, amesema kilichotokea katika maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026, kimewapa chachu ya kuboresha Ligi Kuu Zanzibar. Kabwanga amesema kutokana na kamati ya maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026 kupambana kupata wadhamini wengi waliofanikisha zawadi kuongezwa, inatoa chachu kwa ZFF kuboresha zaidi Ligi Kuu…

Read More

Dili zikitiki Tanzania Prisons kazi mnayo!

VIONGOZI wa timu ya Tanzania Prisons wanaendelea na vikao vya tathmini mkoani Dodoma, ili kupata picha ya kipi wakifanye katika usajili wa dirisha dogo litakalofungwa Januari 30, lakini kama michongo yao itatiki wapinzani waliopo katika Ligi Kuu Bara itabidi wajipange mapema. Prisons imecheza mechi saba imeshinda mbili, imetoka sare moja na imefungwa nne, imekusanya pointi…

Read More

Simba yamvutia waya Sillah | Mwanaspoti

SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuripoti aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah, amevunja mkataba na ES Setif ya Algeria, uongozi wa Simba umemvutia waya ili aweze kurudi Ligi Kuu Bara. Nyota huyo alijiunga na kikosi hicho na kusaini mkataba wa hadi Juni 30, 2027, ingawa makubaliano ya kuusitisha yamefikiwa, huku ikidaiwa sababu kuu…

Read More