SERIKALI YAFANIKISHA AJIRA 1400 NJE YA NCHI
SERIKALI imefanikiwa kuzalisha ajira zaidi ya 1,400 za vijana kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika kipindi cha mwezi Novemba 2025 hadi sasa ikiwa ni matokeo ya mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Tanzania na nchi za nje ili kusaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana. Akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga vijana 109 waliopata fursa ya…