UDOM yazindua mradi wa TevuAfya kuimarisha afya ya akili kwa vijana
Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili, Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimezindua mradi wa TevuAfya, unaolenga kushughulikia kwa vitendo matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana, hususan wanaoishi mijini na pembezoni mwa miji. Akizungumza leo Jumanne, Januari 6, 2026, wakati wa uzinduzi wa mradi…