Bunge la Seneta lamjia juu Trump sakata la Venezuela
Dar es Salaam. Bunge la Seneta nchini Marekani limewasilisha muswada wa kukomesha kufungwa kwa serikali ya Venezuela. Uamuzi huo umekuja siku chache baada ya vikosi vya Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro katika shambulio la kijeshi tukio ambalo limepingwa na baadhi ya wabunge wa Seneta wakiituhumu serikali kwa kulipotosha Bunge juu ya sababu ya…