WAZIRI MKUU DKT.MWIGULU NCHEMBA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI TANGA.
Na MASHAKA MHANDO,Tanga WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Tanga Ijumaa February 13, ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo yenye thamani ya jumla ya shilingi bilioni 758.1. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Buriani, akizungumza na waandishi wa…