Ludewa kugeukia kilimo cha ufuta

Njombe. Zaidi ya wananchi 450 kutoka vijiji vya Tarafa za Masasi na Mwambao wilayani Ludewa, wameanza kunufaika na mgao wa kilo 225 za mbegu bora za ufuta zinazotolewa bure na Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe. Hii ni sehemu ya mkakati wa kuwawezesha wananchi wa ukanda huo kiuchumi na kuongeza uzalishaji wa mazao ya…

Read More

Pwani yajipanga ushindani kimataifa uwekezaji wa viwanda

Kibaha. Mkoa wa Pwani umeanza kuchukua hatua mahsusi za kujipanga kuingia katika ushindani wa kimataifa wa maendeleo ya kiuchumi kwa kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa viwanda. Akizungumza katika kikao kazi kilichofanyika leo Alhamisi Januari 8, 2026 mjini Kibaha, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema mkoa huo umeanza kujiandaa kushindana kimataifa katika kuvutia…

Read More

Vaibu la mapokezi ya Taifa Stars

KULIKUWA na vaibu la aina yake jana wakati wa tukio la kuwasili kwa kikosi cha Taifa Stars kilichorejea kikitokea nchini Morocco lilikoenda kushiriki Fainali za 35 za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zilizofanyika nchini humo. Timu hiyo iliandika historia mpya katika soka la Tanzania kwa kufuzu hatua ya 16-Bora kwa mara ya kwanza, kabla…

Read More

Bunge la Seneta lamjia juu Trump sakata la Venezuela

Dar es Salaam.  Bunge la Seneta nchini Marekani limewasilisha muswada wa kukomesha kufungwa kwa serikali ya Venezuela. Uamuzi huo umekuja siku chache baada ya vikosi vya Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro katika shambulio la kijeshi tukio ambalo limepingwa na  baadhi ya wabunge wa Seneta wakiituhumu serikali kwa kulipotosha Bunge juu ya sababu ya…

Read More

TPSF yasitisha mkataba wa ajira wa Maganga, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limetangaza kusitisha mkataba wa ajira na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu, Raphael Maganga baada ya uchunguzi kufanyika. Mkataba huo umesitishwa ikiwa imepita miezi mitatu tangu Baraza la Uongozi la TPSF lilipotangaza kumsimamisha kazi Oktoba 3, 2025 na kuagiza kufanyika kwa ukaguzi wa kiuchunguzi kufuatia kuwapo kwa wasiwasi…

Read More

Uchaguzi Mkuu 2025 wapingwa Mahakama ya Afrika Mashariki

Arusha/Dar. Wanasheria wawili wa Tanzania, Tito Magoti na Bob Wangwe wameishtaki Serikali ya Tanzania katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Magoti na Wangwe wamefungua shauri hilo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Read More