Pipino akutana na staa wa ndoto zake

NDOTO ya kiungo mkabaji Ahmed Bakari ‘Pipino’, kutamani kucheza timu moja na supastaa raia wa Uganda, Khalid Aucho inakwenda kutimia baada ya kusajiliwa na Singida Black Stars. Simba, Yanga na Azam FC msimu uliopita ziligonga mwamba kupata saini ya Pipino akiwa KMC, lakini imekuwa rahisi kwa Singida kumsainisha mkataba wa miaka mitatu na tayari kakutana…

Read More

Rais Samia aitwisha mzigo Mahakama Dira ya Taifa 2050

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati Taifa likielekea katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050, mhimili wa Mahakama una nafasi muhimu wa kujenga Taifa lenye haki, amani, usalama na utulivu. Rais Samia ameeleza hayo leo Jumanne Januari 13, 2026 wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa siku mbili wa…

Read More

Yule Messi wa Simba yupo tayari kuliamsha

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Azam FC na TP Mazembe, Ramadhan Singano ‘Messi’ amezungumzia kilichokuwa nyuma ya ukimya wake na utayari wa kurejea tena uwanjani ili kuweza kuendeleza kipaji chake. Singano amesema alipata changamoto ya kimkataba akiwa na TP Mazembe aliyokuwa amejiunga nayo 2019/20, baada ya mwaka jana kumalizika anaona anaweza akaendelea na mambo…

Read More

Kagera Sugar wana jambo lao Championship

BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limedai halitaki kufanya makosa yatakayowagharimu katika mechi zilizobaki za Ligi ya Championship na kukwamishwa kurejea Ligi Kuu Bara. Ili kutimiza malengo ya safari ya matumaini, Kagera imetangaza vita kwa wapinzani ikituma ujumbe kuwa sasa  kila mechi ni fainali na haipo tayari kupoteza. Timu hiyo ya mkoani Kagera ilishuka daraja…

Read More

Magari 21 yazuiwa kubeba wanafunzi Kilimanjaro

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeyazuia magari 21 ya shule kuendelea na shughuli za usafirishaji wa wanafunzi, baada ya kubainika kuwa ni mabovu na hayako katika hali salama ya kusafirisha wanafunzi. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia ukaguzi maalumu wa magari ya shule uliofanyika kuanzia Januari 9 hadi Januari 12, 2026 katika wilaya zote za…

Read More

Tajiri 1% wamevuma Kupitia Mgao wao Sahihi wa Uzalishaji wa Kaboni kwa 2026 – ndani ya Siku 10 pekee – Masuala ya Ulimwenguni.

Mkopo: Oxfam Maoni na Oxfam (london) Jumanne, Januari 13, 2026 Inter Press Service LONDON, Januari 13 (IPS) – Asilimia 1 tajiri zaidi wamemaliza bajeti yao ya kila mwaka ya kaboni – kiasi cha CO2 ambacho kinaweza kutolewa huku kikiwa ndani ya nyuzi joto 1.5 – siku kumi tu ndani ya mwaka, kulingana na uchambuzi mpya…

Read More

Mtanzania apewa mwaka na nusu Misri

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto amejiunga na Port Fouad inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea Makadi FC. Evalisto aliitumikia Makadi kwa msimu mmoja akifunga mabao matano na asisti nne kwenye mechi 10 alizocheza akiibuka na tuzo moja  ya mchezaji bora wa mwezi. Akizungumza na Mwanaspoti, Evalisto amesema…

Read More