Yanga Princess yaiadhibu Mashujaa Queens WPL

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imeendelea leo zikipigwa mechi tano ikiwemo ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa ambapo Wananchi hao waliondoka na ushindi wa mabao 4-1 Uwanja wa Azam Complex Chamazi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Asha Djafari dakika ya tisa. Asha amesajiliwa kikosini hapo hivi karibuni na mechi ya leo ilikuwa ya pili kwake,…

Read More

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA 13 KIMATAIFA YA BIASHARA Makamu wa Pili

:::::::: Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,amefungua rasmi Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 62 ya Zanzibar yanayiendelea katika viunga vya maonyesho vya Nyamanzi, Fumba mjini Unguja. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais Mheshimiwa Abdulla amesisitiza umuhimu wa maonesho hayo…

Read More

SERIKALI YAJENGA VYUO VIPYA 64 VYA VETA KUIMARISHA ELIMU YA UFUNDI

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,akipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wakufunzi mara baada ya kutembelea  Chuo cha  VETA Moshi. Na.Mwandishi Wetu-MOSHI Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameielekeza VETA Moshi kuimarisha ushirikiano na makampuni na viwanda ili kuongeza fursa za ajira kwa wahitimu na kukuza matumizi…

Read More

Wanu aelekeza Veta kusaka mapinduzi ya viwanda

Moshi. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, ameelekeza vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi nchini (Veta) kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi ili kukuza ujuzi wa teknolojia mpya unaoendana na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda. Amesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati mpana wa kuhakikisha vyuo vya Veta vinaendana na kasi ya…

Read More

Saba kortini wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya

Dar es Salaam. Mkazi wa Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam, Cuthbert Kalokola (34) na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa mashtaka saba ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methamphetamine, Flunitrazepan na bangi. Mbali na Kalokola, washtakiwa wengine ni Mulhath Abdallah(19) mkazi wa Chamazi; Fredrick Jesca(26) mkazi wa Ubungo; Alphonce…

Read More

Ukosefu wa Usawa wa Idadi ya Watu katika “Uteuzi huko Samarra” – Masuala ya Ulimwenguni

Licha ya kupungua kwa viwango vya vifo ulimwenguni, matarajio ya maisha wakati wa kuzaliwa hutofautiana sana kati ya nchi. Mkopo: Shutterstock Maoni na Joseph Chamie (portland, Marekani) Jumatano, Januari 07, 2026 Inter Press Service PORTLAND, Marekani, Januari 7 (IPS) – Wakati kifo hakiepukiki kwa kila mtu, muda wa “Uteuzi huko Samarra” inatofautiana sana kati ya…

Read More

JAB yaonya uandishi wa habari bila ithibati

Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa onyo kwa watu wanaojihusisha na kazi za kihabari bila kuwa na ithibati halali, ikibainisha kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kukiuka Sheria ya Huduma za Habari. Katika taarifa yake iliyotolewa leo, Jumatano Januari 7, 2026, JAB imesema katika utekelezaji wa majukumu…

Read More