DKT. MIGIRO KUUNGURUMA ILALA KESHO, AKIHITIMISHA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Dokta Asha-Rose Migiro, kesho tarehe 13.1.2026 anatarajiwa kuhitimisha ziara yake ya kimkakati katika wilaya ya Ilala, mkoani Dar es salaam, kwa kuzungumza na Mabalozi wa mashina. Ziara ya Dokta Migiro iliyobeba kauli mbiu isemayo ShinaLakoLinakuita, tayari imeshafanyika katika wilaya ya Temeke, Kigamboni, Ubungo na Kinondoni na kesho itafanyika wilayani…

Read More

TRA United yapigwa bao kwa Kelvin Kijili

MBEYA City inaendelea na maboresho dirisha hili dogo la usajili na kikosi hicho kutoka jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa Singida Black Stars, Kelvin Kijili. Beki huyo aliyejiunga na Singida Julai 11, 2025, akitokea Simba, awali alikuwa katika mazungumzo ya kujiunga na kikosi cha TRA…

Read More

Kwa nini Urithi wa Amerika wa Kupunguza Utu katika Vita vya Kigeni Sasa Ni Ukweli Nyumbani – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Melek Zahine (bordeaux, Ufaransa) Jumatatu, Januari 12, 2026 Inter Press Service BORDEAUX, Ufaransa, Januari 12 (IPS) – Kabla ya msaada wa kijeshi kupitishwa, wanajeshi kutumwa, au mabomu kurushwa, Maŕekani inaweka msingi wa ghasia zake za kisiasa kwa kwanza kuwavua maadui ubinadamu wao. Diplomasia inawekwa kando, vizuizi vya kisheria vinachukuliwa kama usumbufu, na faida…

Read More

Waziri Ndege: Watoto wenye mahitaji maalumu wasifichwe

Babati. Jamii nchini imetakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye uhitaji maalumu majumbani, kwani kufanya hivyo kunawanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu, malezi bora na fursa za maisha. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora, Regina Ndege ameeleza hayo leo Januari 12, 2026 wakati akigawa viti mwendo…

Read More

TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUENDELEZA NISHATI YA JOTOARDHI; WAZIRI NDEJEMBI ALIELEZA BARAZA LA IRENA

::::::::::: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kutokana na uwepo wa vyanzo vingi vya nishati ya jotoardhi, Tanzania inayo fursa ya kuviendeleza vyanzo hivyo ili wananchi wapate nishati ya kutosha, nafuu na endelevu  ikiwa pia ni sehemu ya kuunga mkono malengo ya dunia ya kuelekea kwenye uzalishaji wa umeme unaotokana na nishati safi. Akizungumza…

Read More