Ngowi achaguliwa kuwa diwani Kirua Vunjo Magharibi

Moshi. Msimamizi msaidizi wa uchaguzi wa Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Daniel Maeda amemtangaza Heriel Ngowi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa diwani wa kata hiyo, baada ya kupata kura 3,536 za ‘Ndiyo’ kati ya kura 4,358 zilizopigwa.Uchaguzi huo umefanyika baada ya kusogezwa mbele kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea udiwani kupitia CCM, John Kessy, aliyefariki…

Read More

NAIBU WAZIRI WANU AIPONGEZA NM-AIST KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (katikati) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula,(kulia) akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bweno katika taasisi hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla…

Read More

URA: Mwakani tunakuja kubeba kombe

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, timu ya URA, imekubali ushindani iliokutana nao msimu huu katika michuano hiyo imewapa funzo na kuahidi wakati ujao itaondoka na kombe. Hayo yamesemwa na kocha msaidizi wa kikosi hicho kutokea Uganda, Ssemuyaba Bashiru aliposema kundi A walilokuwepo halikuwa rahisi kutokana na kukutana na timu zenye ushindani, hivyo wanakwenda…

Read More

Mlandege tatizo wachezaji sio kocha

KOCHA msaidizi wa Mlandege, Sabri Ramadhan China amesema wachezaji wa kikosi hicho wameshindwa kuifanya kazi ipasavyo ndiyo sababu ya kuwa timu ya kwanza kuaga mashindano. Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Kombe la Mapinduzi, imeondoshwa kwa aibu kutokana na kupoteza mechi zote tatu za kundi A, ikifunga bao moja na kuruhusu nyavu zake kutikiswa mara…

Read More

Pacha mpya inasukwa Singida Black Stars

USAJILI wa mabeki wawili wa kati Singida Black Stars, Abdallah Salum Kheri ‘Sebo’ na Abdulmalik Zakaria umetajwa kuwa unakwenda kuimarisha zaidi eneo hilo baada ya kuonekana kuna shida. Katika kuimarisha eneo hilo, benchi la ufundi la Singida Black Stars, linaloongozwa kwa sasa na kocha David Ouma katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, kuna kitu linafanya….

Read More

TFF, Gamondi waitana mezani | Mwanaspoti

BAADA ya kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 akiwa kama kocha wa mpito, Miguel Gamondi ameitwa haraka mezani kusaini mkataba wa kuinoa timu hiyo inayotarajiwa kurejea nchini leo na ikiandaliwa mapokezi makubwa ya kitaifa. Gamondi ameiongoza timu hiyo katika…

Read More