Zimbabwe kubadilisha katiba kuongeza muda wa Rais madarakani

Harare. Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limepitisha rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo, yatakayomwezesha Rais Emmerson Mnangagwa (83) kuendelea kubaki madarakani hata baada ya muda wake kwisha mwaka 2028. Rasimu hiyo inapendekeza kwamba marais watakuwa wanachaguliwa na wabunge na siyo kuchaguliwa moja kwa moja na wananchi, na atatumikia mihula miwili ya miaka saba…

Read More

Baada ya MWANZO Mpya, Je! Umeharakisha Mashindano ya Silaha za Nyuklia? – Masuala ya Ulimwenguni

Picha ya jaribio la nyuklia la Licorne la 1971, ambalo lilifanywa huko Polinesia ya Ufaransa katika Bahari ya Pasifiki. Credit: CTBTO Maoni na John Burroughs (san francisco, Marekani) Alhamisi, Februari 12, 2026 Inter Press Service SAN FRANCISCO, Marekani, Februari 12 (IPS) – Mkataba wa hivi karibuni zaidi wa kuweka vikwazo vya kimkakati vya silaha za…

Read More

DAWASA Yataka Wananchi Kusubiri Utafiti

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya usimamizi wa maji na safi na taka mkoa wa Dar es salaam (Dawasa) imesema kuwa inaendelea na tafiti katika wilaya zote za mkoa wa Dar es salaam ili kujua uhitaji wa maji safi na salama kwa wakazi wake. Mpango huo wa uchimbaji visima mkoa wa Dar es salaam ni kutokana…

Read More

Kalamba Games Wafungua Ukurasa Mpya wa Sloti Ndani ya Meridianbet

JE, sloti zinaweza kuwa zaidi ya kuzungusha alama na kusubiri bahati? Meridianbet inaonekana kujibu swali hilo kwa vitendo baada ya kuleta Kalamba Games, wabunifu wanaokuja na mtazamo tofauti kabisa. Ujio huu ni mabadiliko ya muonekano, na mtindo wa michezo unaomkaribisha mchezaji kwenye ulimwengu mpya wa burudani ya kidijitali. Kalamba Games wamejijengea jina kwa kutengeneza sloti…

Read More