Hatua kwa hatua kukamatwa kwa Maduro, mkewe

Licha ya ripoti na madai yanayoendelea kusambaa kuhusu juhudi za Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, mjadala huo umeibua upya kumbukumbu za operesheni za kijeshi zilizowahi kutekelezwa na taifa hilo katika nyakati tofauti za kisiasa na historia ya dunia. Kinachozitofautisha operesheni hizo si ukubwa wa nguvu za kijeshi zilizotumika pekee, bali pia muda uliotumika…

Read More

KIDULI FC WAAHIDI KUNYAKUA UBINGWA U-20

Na Khadija Kalili ,Kibaha MKURUGENZI wa Kiduli Security Ally Masimike amesema kuwa “awali ya yote anawapongeza wachezaji kwa kucheza mchezo mzuri na suala la kupoteza ni bahati mbaya hivyo wanakwenda kujipanga kuangalia wapi wamekosea ili watakapokuja kucheza katita fainali wanaimani matokeo yatakua mazuri. “Leo tumecheza fainali ya kwanza na kupoteza lakini tunayo nafasi katika mechi…

Read More

Petroli na mafuta ya taa bei juu

Dar es Salaam. Watumiaji wa mafuta ya petroli na mafuta ya taa nchini watalazimika kutumia fedha zaidi kupata lita moja ya mafuta baada ya bei kuongezeka, wakati watumiaji wa dizeli wakipata ahueni. Hiyo ni baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli…

Read More

FYATU MFYATUZI: Mfugo unapowaita mafyatu ‘mifugo’!

Juzi, nilifyatuka nusu kufyatua mkumbaff mmoja. Si nilisikia mfugo, tena mkubwa tu, unaopayuka kuliko hata aliyeufuga. Ulidai eti mafyatu wanaoishi ghaibu wanafugwa kama wenyewe. Nani, vipi, na kwanini? Huko, hawali dezo kama huu. Hawapigi, hawababaishi, wala kuongopa. Hakuna usanii, uchawa, ufunza, au ukunguni. Unawaita mafyatu waanimo kwa vile wewe ni muanimo? Nani afugwe iwe home…

Read More

Vijana wataka jukwaa lao liangazie haya kisiasa

Dar es Salaam. Huku Serikali ikiwa mbioni kuzindua Jukwaa la Vijana la Taifa, vijana kutoka makundi na vyama mbalimbali vya siasa wamejitokeza kupaza sauti zao, wakitaka wizara yenye dhamana kushughulikia kwa dhati vikwazo vinavyowakabili katika kushiriki na kunufaika na fursa za kisiasa. Wito huo unakuja wakati ambapo kundi la vijana, linalounda zaidi ya asilimia 60…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Haya ndiyo maridhiano halisi sasa

Kuna jambo linanilazimisha kumkumbuka bwana aliyekwenda kung’oa jino baada ya kuhisi maumivu makali. Lakini baada ya kuliondoa jino alilolihisi, akaendelea kupata maumivu kwenye meno mengine. Alirudi kumlalamikia tabibu wake, kwamba inawezekana amekosea tiba na kung’oa jino lisilo bovu. Tabibu alijaribu tena na tena bila mafanikio, hatimaye akayaondoa meno yote. Wakati jamaa akiwa amebaki kibogoyo, ndipo…

Read More

Sherehe ya talaka yazua mjadala, Waziri Gwajima aingilia kati

Dar es Salaam. Ingawa mara nyingi harusi ni tukio linalofurahiwa na kusherehekewa, hali imekuwa tofauti kwa Zainab Kombo, aliyefanya sherehe baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mume wake. Hatua ya Zainab imeibua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa maadili, wataalamu wa sosholojia, viongozi wa kiroho na Serikali, baadhi wakimuunga mkono, huku wengine wakimpinga. Wanaomuunga mkono…

Read More