Sababu kupanda bei ya samaki, dagaa mchele

Dar es Salaam.Uhaba wa samaki katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri jijini Dar es Salaam, umejitokeza kufuatia hali ya hewa ya upepo mkali baharini uliosababisha hata bei ya kitoweo hicho hususan dagaa mchele, kupanda bei. Jana, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) ilitoa tahadhari kwa wavuvi na wasafirishaji wa majini kuchukua hatua…

Read More

Balozi Kombo awahimiza vijana kuilinda amani ya nchi

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewataka vijana nchini kuwa wazalendo kwa taifa lao na kuilinda amani kwani itakapotoweka ni vigumu kuirudisha. Balozi Kombo amesema hayo leo Januari 6, 2026, katika mahafali ya 28 ya wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dk…

Read More

Uganda yatoa kongole utekelezaji bomba la mafuta ghafi

Tanga. Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda, Dk Ruth Nankabirwa ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda. Dk Nankabirwa ametoa pongezi hizo leo Jumanne, Januari 6, 2026 jijini Tanga, wakati…

Read More

Zanzibar yazindua flyover ya kwanza Mwanakwerekwe

Unguja. Zanzibar imeandika historia mpya ya maendeleo baada ya kuzindua rasmi barabara ya juu (flyover) Mwanakwerekwe, mradi ambao ni ishara ya mafanikio ya kimaendeleo katika miaka 62 tangu Mapinduzi Matukufu. Ujenzi wa flyover ni sehemu ya mfululizo wa miradi ya kisasa inayolenga kuboresha miundombinu ya usafiri, biashara na huduma za kijamii kisiwani humo. Flyover hiyo…

Read More