BoT YADUMISHA RIBA YA BENKI KUU ASILIMIA 5.75 KWA ROBO YA KWANZA 2026
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeamua kuendelea na kiwango cha Riba ya Benki Kuu (Central Bank Rate – CBR) cha asilimia 5.75 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2026, kiwango ambacho kilitumika pia katika robo ya nne ya mwaka 2025. Uamuzi huo umetangazwa Januari 8, 2026 na Gavana wa…