AFCON 2025 yambeba Alphonce Mabula

KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula amesema kucheza michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) akiwa na kikosi cha Taifa Stars kumeanza kumpa uzoefu wa mechi za kimataifa na somo kwenye soka. Mabula aliyeitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Taifa Stars, alicheza mechi zote tatu za hatua ya makundi kwa dakika 90 akianza dhidi…

Read More

Holiday Drops Ya Meridianbet Inaendelea Kukupa Ushindi Mwaka Mpya

MWAKA mpya umeanza lakini ushindi na zawadi bado zinamiminika kutoka Meridianbet kupitia Meridianbet Holiday Drops, ikiwa imesheheni fursa za kuondoka na mizawadi ya kutosha kwa wachezaji wote wa meridianbet. Holiday Drops imebeba msisimko wa kipekee unaoandamana na kasi ya ushindi wa kasino mtandaoni. Hakuna mambo mengi ndani ya Holiday Drops, zawadi zinaweza kuibuka ghafla ukiwa…

Read More

Damaro, Tchakei, Mwanengo walivyoyaanza maisha mapya Yanga

PALE Yanga kuna majembe mapya matatu. Emmanuel Mwanengo kutoka TRA United, Marouf Tchakei na Mohamed Damaro waliotokea Singida Black Stars. Majembe hayo yameanza kazi rasmi yakicheza mechi ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi 2026, michuano inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan, Unguja. Katika mechi ya juzi dhidi ya KVZ ambayo Yanga iliibuka na ushindi wa…

Read More

Wanaodaiwa kuiba The Voice, waendelea kusota rumande

Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha kisha kuiba Klabu ya The Voice Tz Limited, inayowakabili Tumaini Moshi (33) na Gasper Mmari (24), haujakamilika. Wakili wa Serikali, Harrison Lukosi, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Jumatatu Januari 5, 2026 wakati kesi hiyo ilipotajwa. Tumaini na Mmari ambao wote ni wakazi…

Read More

Miliki Samsung A26 na Meridianbet Leo

LEO hii una nafasi ya kumiliki simu ya ndoto zako na Meridianbet ambapo kwa kubashiri mechi za mpira wa miguu ni rahisi sana kuchukua Samsung A26 yako. Unangoja nini kubashiri sasa? Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa…

Read More

Samia: Tuzo za utalii ni matokeo ya uhifadhi, mshikamano

Zanzibar. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio ya Tanzania kuendelea kutwaa tuzo za kimataifa za utalii yanatokana na uwekezaji wa muda katika uhifadhi wa rasilimali asilia, mshikamano wa wadau na juhudi za makusudi za kuitangaza nchi kimataifa. Hayo amesema leo, Jumatatu Januari 5, 2026 baada ya kupokea tuzo tatu za kimataifa za utalii, Ikulu ya…

Read More

Rais Mstaafu wa Dkt. Kikwete, Azindua Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kulia) akipiga makofi pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wapili kushoto),Kamishna Jenerali wa Uhamiaji.Dkt.Anna Makakala(wakwanza kulia) na wakwanza kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan, wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari,wilayani…

Read More