Pacha mpya inasukwa Singida Black Stars
USAJILI wa mabeki wawili wa kati Singida Black Stars, Abdallah Salum Kheri ‘Sebo’ na Abdulmalik Zakaria umetajwa kuwa unakwenda kuimarisha zaidi eneo hilo baada ya kuonekana kuna shida. Katika kuimarisha eneo hilo, benchi la ufundi la Singida Black Stars, linaloongozwa kwa sasa na kocha David Ouma katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, kuna kitu linafanya….