Simba yaifuata Azam nusu fainali Mapinduzi Cup

NI rasmi sasa Mzizima Derby inapigwa kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam dhidi ya Simba. Hiyo ni baada ya timu hizo kila moja kuongoza kundi katika Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja. Azam ilitangulia mapema leo Januari 5, 2026 jioni ilipoifunga URA na kuongoza kundi A,…

Read More

WAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA TRA KWA UTENDAJI MZURI WA MAKUSANYO YA MAPATO

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati akifungua Mkutano wa Kutathmini Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2025/26 (Mid-Year Performance Review Meeting), uliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha, ambapo alitumia fursa hiyo kuipongeza Mamlaka hiyo kwa kuendelea kufanya…

Read More

WAZIRI KAPINGA ATOA ONYO: MAKOSA YA UJENZI WA JENGO LA TBS MWANZA YAREKEBISHWE MARA MOJA.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga(Mb) ameagiza kurekebishwa mara moja kwa makosa yaliyofanyika katika ujenzi wa jengo la kanda la Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Jijini Mwanza, ambayo yamesababisha mradi huo kuchelewa kukamilika kwa wakati uliopangwa. Waziri Kapinga ametoa agizo hilo Januari 5, 2026 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa…

Read More

NAIBU WAZIRI MAHUNDI ASISITIZA UWAJIBIKAJI MIRADI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.

………… 📌 Aagiza Bweni la Wasichana Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole likamilishwe kwa wakati. Na mwandishi wetu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amemtaka mkandarasi anayesimamia ujenzi wa bweni la wasichana katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole, Jijini Mbeya, kuhakikisha anakamilisha mradi huo kwa…

Read More

Januari hii ni zaidi ya ada, hadi vyakula havishikiki

Dar/mikoani. Ukiacha mzigo wa malipo ya ada za wanafunzi na gharama nyingine za maisha kila inapoanza Januari, mwaka huu hali imekuwa mbaya zaidi, kwani makali yamegusa hadi kwenye bei za vyakula. Si unga wa mahindi wala mchele pekee, dagaa na viazi mviringo, vyote vimepanda bei ndani ya Januari, hasa katika mikoa ya Dar es Salaam,…

Read More

Tanzania yatabiriwa medali ya dhahabu mbio za Nyika

SAFARI ya wanariadha wa kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Tanzania kushiriki mbio za dunia za Nyika imeiva baada ya kuagwa leo Januari 5, 2026 huku ikitabiriwa kurudi na medali ya dhahabu. Mashindano hayo yatafanyika Januari 10, 2026, Florida nchini Marekani, ambapo Tanzania itawakilishwa na wanariadha tisa ambao wanatarajiwa kuondoka kesho Jumanne wakiongozwa…

Read More