Kilombero Sugar Yaendelea Kukuza Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA kwa Manufaa ya Zaidi ya Wanafunzi 2,500 Katika Bonde la Kilombero

Morogoro, 12 Februari 2026 KAMPUNI ya Sukari Kilombero imekamilisha kwa mafanikio Awamu ya Pili ya Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA kwa Shule, mpango endelevu unaoendeshwa na dhamira ya kampuni katika kujenga jamii inayostawi na iliyo tayari kidijitali. Mpango huu unalenga kuipatia shule za sekondari zinazozunguka kampuni vifaa muhimu vya TEHAMA na ujuzi wa kiteknolojia unaowaandaa…

Read More

Kituo cha redio cha Gaza hufunguliwa tena, na kuleta sauti kutoka kwa vifusi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakati vituo 23 vya redio vya ndani vilikuwa vikifanya kazi Gaza kabla ya mzozo kuzuka, vyote viliharibiwa na kusitisha utangazaji, aliambia. Habari za Umoja wa Mataifa. “Leo, sisi ndio kituo pekee cha redio kinachotangaza kwenye FM kutoka ndani ya Gaza baada ya uharibifu huu ulioenea,” alisema. “Tunatumai kwamba vituo vingine vya redio vya ndani vitarejelea…

Read More

Makosa yanayofanywa na wafungaji Swaumu 

Dar es Salaam. Kujifunza Sharia za Swaumu na hukumu zake ni wajibu kwa Muislamu, ili afunge kwa namna anayopenda na kuiridhia Allah Mtukufu, na apate thawabu kamili na lengo lililokusudiwa, ambalo ni kumcha Allah Mtukufu. Wapo wanaofunga lakini hawaufikii uchamungu, kwa ujinga wao wa kutojifunza sharia, masharti na adabu za Swaumu. Na wapo ambao inawalazimu…

Read More

Sababu ya usingizi mzito baada ya tendo la ndoa

Russia. Wanaume mara nyingi hulala usingizi mzito baada ya kushiriki tendo la ndoa, na hii ni kutokana na kutiririshwa kwa vichochezi mchanganyiko baada ya kufika kilele. Kupata hali ya usingizi mzito sio tatizo la kiafya, bali ni hali ya kawaida ya kiasili ya ufanyaji kazi za mwili baada kufika kileleni, ambapo huleta usingizi mzito ili…

Read More

Kulala na soksi rafiki na adui kwako

Kuna watu duniani wanapolala wakiwa wamevaa soksi, hupata usingizi mwanana, huku wengine wakishindwa kabisa kulala. Mtaalam wa masuala ya usingizi, Mwende Kimweli, anasema kuwa kwa watu wengi, kulala na soksi husaidia kupata usingizi. Miguu yenye joto hutuma ujumbe kwa ubongo kwamba ‘unaweza kupumzika’ jambo linalosaidia mwili kulala haraka. “Miguu baridi hufanya kinyume chake….

Read More

KONA YA MSTAAFU: Wastaafu mpaka tuanzishe chama ndio tutasikilizwa?

Wiki iliyopita mstaafu alimalizia makala yake kwa kuandika, tufupishe; akiwa na maana ya kuitaka siri-kali na vibubu husika vifanye fasta kumlipa mstaafu wa kima cha chini shilingi milioni tano na  laki tano zake walizoahidi wenyewe kumpa mstaafu… atakapokuwa mkazi wa Kinondoni na sio akiwa hai!  Rukhsa wastaafu  kucheka kwa uchungu! Bila shaka mnakumbuka vibubu vilipoahidi kumpa…

Read More

Hatari ya saratani kwa wapenda nyamachoma

Nyama choma ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa kwa kiwango kikubwa, hasa katika mikusanyiko ya kijamii na sherehe. Hata hivyo, kazi za kitafiti za kisayansi zimeonyesha kuwa ulaji wa nyama iliyochomwa sana au iliyoungua unaweza kuhusishwa na ongezeko la hatari ya baadhi ya saratani, hususan kansa ya utumbo mpana. Utafiti uliofanywa mwaka 2005 na Taasisi ya…

Read More

Heche ataja masharti mawili Chadema kukaa meza ya maridhiano

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, ametaja mambo mawili yatakayosaidia chama hicho kupata mwanga wa kufikiria kushiriki katika maridhiano yaliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia alipofungua Bunge la 13 Novemba 14, 2025, mjini Dodoma, kwenye hotuba yake alitangaza kuwa Serikali imeunda tume ya uchunguzi ili…

Read More