SERIKALI YAFANIKISHA AJIRA 1400 NJE YA NCHI: SANGU

………… Na. OWM -KAM, Dar es Salaam Serikali imefanikiwa kuzalisha ajira zaidi ya 1,400 za vijana na wanawake kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika kipindi cha mwezi Novemba 2025 hadi sasa ikiwa ni matokeo ya mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Tanzania na nchi za nje ili kusaidia kupunguza tatizo la ajira. Akizungumza kwenye hafla…

Read More

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI,MAKONDA APEWA WIZARA

…………….. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluh Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Dkt Moses Kusiluka imewataja viongozi walioteuliwa kuwa ni pamoja na Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na michezo,ambapo kabla ya uteuzi…

Read More

Simba v JKT Queens hakuna mbabe WPL

HATIMAYE mechi ya malkia wawili, JKT Queens na Simba Queens imemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam. Mechi hiyo ya raundi ya saba inakumbushia mechi ya Desemba 10 mwaka jana matokeo yakiisha kwa sare hiyo hiyo mechi ikipigwa Uwanja wa KMC Complex Mwenge. JKT ilikuwa ya kwanza kupata…

Read More

DKT. KIJAJI AIPA TANO BODI YA TAWA

 ………….. Na, Sixmund Begashe, Arusha Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imepongezwa kwa ubunifu wake katika utekelezaji wa majukumu yake yaliyosababisha mafanikio katika uhifadhi na Utalii nchini.  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, ametoa pongezi hizo Jijini Arusha wakati akipokea taarifa ya utekelezaji kazi wa Bodi ya…

Read More

Serikali kuwakumbuka wasaidizi wa kisheria kwenye bajeti ijayo

Dodoma. Serikali imesema kuanzia bajeti ijayo ya 2026/27, wasaidizi wa kisheria watakuwa kwenye ikama na watatambuliwa na Serikali ili kuimarisha utoaji haki. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Januari 8, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi aliyesema  kada hiyo ilisahaulika lakini wana umuhimu katika kuwafikia watu wa vijijini. Maswi amebainisha…

Read More