SERIKALI YAAINISHA ORODHA YA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WAGENI
……………… ▪️Ni utekelezaji wa maelekezo ya Mh Rais Samia juu ya ushiriki wa watanzania kwenye sekta ya madini ▪️Ni kupitia Marekebisho ya Kanuni ya Ushirikishwaji Watanzania Sekta ya Madini ▪️Manunuzi na Bidhaa Migodini Yafikia Shilingi Trilioni 5 mwaka 2024 ▪️Waziri Mavunde ataka Sekta Binafsi kuchangamkia fursa Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imetangaza rasmi orodha…