Bashiri Leo Upate Samsung A26 na Meridianbet

Nafasi ya ushindi hii hapa na wakali wa Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia 5000 na ubashiri hapa. Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kutoa promosheni zenye thamani halisi kwa wachezaji wake. Kupitia kampeni yake mpya, kampuni hii inaleta fursa murua kwa mashabiki wa mpira kushiriki…

Read More

Miradi 150 ya uwekezaji kusajiliwa Zanzibar kila mwaka

Unguja. Wakati mazingira na miundombinu vikiboreshwa, Zanzibar imepanga kusajili miradi isiyopungua 150 ya uwekezaji kila mwaka kupitia Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA). Hayo yameelezwa leo, Januari 5, 2026, na Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, katika siku ya uwekezaji iliyoandaliwa kwenye maonyesho ya Zanzibar International Trade Fair (ZITF) yanayoendelea katika Viwanja vya…

Read More

Kocha Dodoma Jiji aanika mipango yake

KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema timu itafanya mazoezi kwa wiki moja, huku ikiangalia ni mkoa gani ikienda itapata mechi za kirafiki kwa urahisi kabla ya kurejea mechi za ligi. Ratiba inaonyesha Dodoma Jiji itakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons katika mechi itakayopigwa Januari 22, jambo ambalo kocha huyo amesisitiza wanahitaji kupata pointi tatu, hivyo…

Read More

Adaiwa kumuua mkewe, akimtuhumu kurudiana na mzazi mwenzake

Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamsaka Helakumi Kacheri kwa tuhuma za kumuua mkewe, Sofina Elipisini (27), mkazi wa Singisa, wakiwa shambani, huku chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema mtuhumiwa alimuua mkewe kwa kumshambulia na silaha yenye makali sehemu mbalimbali za mwili, akimtuhumu kuendeleza uhusiano na…

Read More

SUALA LA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI LIMEENDELEA KUWA KIPAUMBELE- MAVUNDE

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma  Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema  kuwa suala la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeendelea kuwa kipaumbele,ambapo Wizara hiyo imefanya marekebisho ya kanuni ya Ushirikishwaji wa wazawa ya mwaka 2018 ambapo Tume ya Madini itatangaza kupitia kanuni ya 13A orodha ya bidhaa na huduma ambazo zinatakiwa kutolewa na…

Read More