Mabadiliko makubwa uhamiaji yaja | Mwananchi

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau imeeleza inakusudia kuifanyia mabadiliko idara ya uhamiaji nchini. Maboresho hayo yametajwa kuwa mkakati wa kuendelea kuboresha sekta ya utalii ambayo imekuwa nyenzo muhimu ya uchumi wa nchi. Mabadiliko hayo yametajwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene katika kikao chake na Maofisa…

Read More

JKT Queens, Simba Queens  kazi ipo WPL

BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens. Hiyo sio mechi ya kawaida, bali ni pambano la kisasi kati ya timu hizo mbili ambazo zimekuwa na ushindani mkali. JKT Queens ambao ni watetezi wa ligi baada ya kutwaa ubingwa wa wanawake msimu…

Read More

Shauri atamani kuvunja rekodi binafsi riadha

MWANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Magdalena Shauri amesema anataka kuvunja rekodi yake ya taifa ya marathoni kwa wanawake akilenga kukimbia chini ya saa 2:18 katika mashindano yajayo ya kimataifa. Shauri aliweka historia 2023 baada ya kuvunja rekodi ya taifa katika Berlin Marathon, Ujerumani, ambapo licha kumaliza nafasi ya tatu alitumia saa 2:18:41, muda ambao haujawahi…

Read More

KMC yakomba noti usajili wa Pipino

KMC imeingiza zaidi ya Sh70 milioni baada ya aliyekuwa kiungo wa kikosi hicho, Ahmed Bakari Pipino kuvunja mkataba wa miaka miwili uliobaki, huku akikamilisha taratibu za kujiunga na Singida Black Stars. Nyota huyo amekamilisha kujiunga na Singida baada ya kuomba uongozi umruhusu akatafute changamoto mpya, ambapo mabosi wa kikosi hicho waliridhia ombi hilo, ingawa kwa…

Read More

Umuhimu wa kutenganisha amana za wateja katika mfumo wa benki Kiislamu

Hivi karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa rasmi Kanuni mpya za uendeshaji wa shughuli za kibenki zi-nazozingatia misingi inayoepuka riba. Kanuni hizi zitahusu uendeshaji benki zinazoepuka riba, na pia benki za kawaida zinazokusudia kutoa huduma za kifedha kupitia madirisha maalum yanayojulikana kama Islamic win-dows. Kutolewa kwa kanuni hizi ni hatua ya kihistoria katika sekta…

Read More

Hatua sita muhimu za kifedha mwaka 2026

Mwaka 2026 umeanza, na kwa Watanzania wengi, huu ni wakati wa kuweka maazimio mapya ya maisha, hasa katika masuala ya fedha. Watu wengi huanza mwaka kwa matumaini makubwa ambayo ni kuokoa zaidi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, kulipa madeni, au kuwekeza. Hata hivyo, uzoefu wa miaka iliyopita unatufundisha kuwa maazimio pekee hayatoshi. Bila hatua za…

Read More