Mzizima Derby… Mechi ya kisasi
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC. Na leo usiku inapigwa mechi nyingine ya dabi hiyo, lakini ni katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja. Lakini, kama…