Vifo vya Wajawazito Vinaongezeka katika Ukraine Iliyokumbwa na Vita – Masuala ya Ulimwenguni

Wodi ya uzazi katika Hospitali ya Multifunctional ya Jiji la Kharkiv No.25. Credit: UNFPA/Ukraine na Ed Holt (bratislava) Jumatano, Januari 07, 2026 Inter Press Service BRATISLAVA, Januari 7 (IPS) – “Ilikuwa ni upasuaji wa dharura wakati maisha ya mwanamke mjamzito yalikuwa hatarini. Tulifanya upasuaji kwa kutumia tochi tu na bila maji, na kutokana na hali…

Read More

CCM yataja mikakati kuhuisha utendaji viongozi wake

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kubadili mwelekeo wa utendaji wake, kutoka viongozi wa juu kutoa maelekezo kwa wale wa chini badala yake viongozi wa mashina watapokea shida za wananchi na kuzipeleka juu kwa utekelezaji. Hatua hiyo kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migiro, inalenga kuhuisha utendaji na kukiweka…

Read More

Mabinti 200 wanusurika kukeketwa Mara, RC atoa maagizo

Musoma. Zaidi ya mabinti 200 wamenusurika kukeketwa wilayani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuokolewa na kituo cha Nyumba Salama kilichopo Butiama mkoani humo. Mabinti hao wamenusurika kufanyiwa vitendo hivyo katika msimu wa ukeketaji uliofanyika mwaka 2025, ukihusisha ukoo wa Wairegi ambao ni miongoni mwa koo 13 za kabila la Wakurya. Takwimu hizo zimetolewa mjini…

Read More

Bodaboda aliyehukumiwa miaka 30 jela aruka kihunzi

Arusha. Mahakama ya Rufaa imefuta adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela iliyokuwa imetolewa dhidi ya dereva bodaboda, Mohamed Nyema maarufu Mudi wa Kusizi. Nyema aliyehukumiwa kwa kosa la wizi wa kutumia silaha, ameachiwa huru baada ya kubaini upande wa mashtaka haukuthibitisha mashitaka yake bila kuacha shaka. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji watatu…

Read More

Unyanyasaji Mtandaoni ni Unyanyasaji Halisi – na Wanawake na Wasichana wa Afrika Wanalipa Bei – Masuala ya Ulimwenguni

Msichana kwenye kompyuta. Credit: UNFPA Jamhuri ya Afrika ya Kati/Karel Prinsloo Maoni na Sennen Hounton (umoja wa mataifa) Jumatano, Januari 07, 2026 Inter Press Service Hatua ya kijasiri ya serikali, makampuni ya teknolojia, na jumuiya zote inahitajika ili kukabiliana na ongezeko la unyanyasaji wa kijinsia unaowezeshwa na teknolojia ambao unazima sauti za wanawake na kutishia…

Read More

Nafasi ya Kutandika Jamvi Hii Hapa

JE unajua kuwa ukibashiri na Meridianbet ni rahisi sana kwako kuondoka na mtanange wa maana?. Timu kibao zipo uwanjani kuhakikisha haubaki patupu leo, hivyo tandika jamvi lako la uhakika hapa. Ligi kuu ya Uingereza, EPL inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo Brentford ataumana dhidi ya Sunderland ambao wapo nafasi ya 8 na mwenyeji wake nafasi ya…

Read More