TPSF yasitisha mkataba wa ajira wa Maganga, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limetangaza kusitisha mkataba wa ajira na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu, Raphael Maganga baada ya uchunguzi kufanyika. Mkataba huo umesitishwa ikiwa imepita miezi mitatu tangu Baraza la Uongozi la TPSF lilipotangaza kumsimamisha kazi Oktoba 3, 2025 na kuagiza kufanyika kwa ukaguzi wa kiuchunguzi kufuatia kuwapo kwa wasiwasi…

Read More

Uchaguzi Mkuu 2025 wapingwa Mahakama ya Afrika Mashariki

Arusha/Dar. Wanasheria wawili wa Tanzania, Tito Magoti na Bob Wangwe wameishtaki Serikali ya Tanzania katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Magoti na Wangwe wamefungua shauri hilo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Read More

Afrika Imebanwa Kati ya Ubadilishaji wa Uagizaji na Ugonjwa wa Utegemezi – Masuala ya Ulimwenguni

Rais John Dramani Mahama wa Ghana akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba iliyopita. Credit: UN Photo Maoni na Kester Kenn Klomegah (moscow) Alhamisi, Januari 08, 2026 Inter Press Service MOSCOW, Januari 8 (IPS) – Imebanwa kati ya uingizwaji wa bidhaa na dalili za utegemezi, hali inayodhihirishwa na seti ya dalili zinazohusiana za kiuchumi—ambayo…

Read More

Wananchi Shinyanga walia sauti za mlipuko kwenye bodaboda, DC atoa maagizo

Shinyanga. Katika mkutano wa hadhara unaohusisha usikilizwaji wa kero za wananchi katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, ulioongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, wananchi wamelalamikia kelele zinazofanywa na waendesha bodaboda, jambo linaloleta mshtuko na taharuki. Wakizungumza leo Januari 8, 2026 katika mkutano uliofanyika viwanja vya Zimamoto, wananchi hao wameeleza kuwa kelele hizo…

Read More

Basi lakutwa na shehena ya skanka

Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewataka wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha havitumiki kusafirisha dawa za kulevya na kuwa haitasita kumchukulia hatua mmliki endapo chombo chake kitakutwa na dawa hizo haramu. Onyo hilo limekuja kufuatia kuongezeka kwa matukio ya kukamatwa dawa za kulevya zinazosafirishwa kwa njia ya…

Read More