Kulala na soksi rafiki na adui kwako

Kuna watu duniani wanapolala wakiwa wamevaa soksi, hupata usingizi mwanana, huku wengine wakishindwa kabisa kulala. Mtaalam wa masuala ya usingizi, Mwende Kimweli, anasema kuwa kwa watu wengi, kulala na soksi husaidia kupata usingizi. Miguu yenye joto hutuma ujumbe kwa ubongo kwamba ‘unaweza kupumzika’ jambo linalosaidia mwili kulala haraka. “Miguu baridi hufanya kinyume chake….

Read More

KONA YA MSTAAFU: Wastaafu mpaka tuanzishe chama ndio tutasikilizwa?

Wiki iliyopita mstaafu alimalizia makala yake kwa kuandika, tufupishe; akiwa na maana ya kuitaka siri-kali na vibubu husika vifanye fasta kumlipa mstaafu wa kima cha chini shilingi milioni tano na  laki tano zake walizoahidi wenyewe kumpa mstaafu… atakapokuwa mkazi wa Kinondoni na sio akiwa hai!  Rukhsa wastaafu  kucheka kwa uchungu! Bila shaka mnakumbuka vibubu vilipoahidi kumpa…

Read More

Hatari ya saratani kwa wapenda nyamachoma

Nyama choma ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa kwa kiwango kikubwa, hasa katika mikusanyiko ya kijamii na sherehe. Hata hivyo, kazi za kitafiti za kisayansi zimeonyesha kuwa ulaji wa nyama iliyochomwa sana au iliyoungua unaweza kuhusishwa na ongezeko la hatari ya baadhi ya saratani, hususan kansa ya utumbo mpana. Utafiti uliofanywa mwaka 2005 na Taasisi ya…

Read More

Heche ataja masharti mawili Chadema kukaa meza ya maridhiano

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, ametaja mambo mawili yatakayosaidia chama hicho kupata mwanga wa kufikiria kushiriki katika maridhiano yaliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia alipofungua Bunge la 13 Novemba 14, 2025, mjini Dodoma, kwenye hotuba yake alitangaza kuwa Serikali imeunda tume ya uchunguzi ili…

Read More

Risasi shuleni nchini Kanada, mlipuko wa kipindupindu nchini DR Congo, uhamishaji wa watu huko Gaza – Masuala ya Ulimwenguni

António Guterres “alihuzunishwa kujua kuhusu tukio la kupigwa risasi huko Tumble Ridge, British Columbia,” msemaji wake Stéphane Dujarric alisema katika taarifa ya kila siku ya habari. “(Bw. Guterres) anatoa rambirambi zake za dhati kwa walioathirika na rambirambi zake kwa Serikali na watu wa Kanada,” Bw. Dujarric aliongeza. Matukio mawili ya uhalifu Kulingana na ripoti za…

Read More