Polisi ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya raia, vifo vitatu vyachunguzwa
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania linamshikilia askari polisi mmoja kwa tuhuma za kumpiga risasi raia, huku likichunguza matukio mengine mawili ya vifo yaliyotokea Rorya mkoani Mara na Arusha. Taarifa ya kukamatwa kwa askari huyo, imetolewa leo Alhamisi Januari 8, 2026 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime. Kwa mujibu wa taarifa hiyo,…