KMC yakomba noti usajili wa Pipino
KMC imeingiza zaidi ya Sh70 milioni baada ya aliyekuwa kiungo wa kikosi hicho, Ahmed Bakari Pipino kuvunja mkataba wa miaka miwili uliobaki, huku akikamilisha taratibu za kujiunga na Singida Black Stars. Nyota huyo amekamilisha kujiunga na Singida baada ya kuomba uongozi umruhusu akatafute changamoto mpya, ambapo mabosi wa kikosi hicho waliridhia ombi hilo, ingawa kwa…