Uchizi Vunga  azigonganisha mbili Bara

KIUNGO mshambuliaji wa Silver Strikers ya Malawi, Uchizi Vunga ameziingiza vitani Singida Black Stars na TRA United ambazo zinawania saini yake. Uchizi ni kiungo ambaye alionyesha ubora dhidi ya Yanga kwenye mechi za hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika na kuibuka gumzo kutokana uwezo aliouonyesha. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Singida Black Stars…

Read More

Mratibu wa Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini New York, Ghulam Isaczai alizungumza kuhusu mabadiliko kutoka kwa Ujumbe wa muda mrefu wa Umoja wa Mataifa wa Misaada kwa ajili ya Iraq (UNAMI), ambayo ilihitimisha mamlaka yake mwezi Desemba, kwa ushirikiano na mamlaka za kitaifa zilizojikita katika maendeleo. “Kwa wale walioishi katika miaka ya mwanzo yenye matatizo…

Read More

Ripoti ya Umoja wa Mataifa inaonya kuhusu ‘utaratibu wa kukosa hewa hewa’ ya haki za Wapalestina – Masuala ya Ulimwenguni

The ripoti na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCHRinaandika kile inachoeleza kuwa mfumo wa ubaguzi wa miongo kadhaa ambao umeongezeka sana tangu angalau Desemba 2022. ‘Ukosefu wa hewa wa kimfumo’ wa haki Volker Türk, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, alisema matokeo ya utafiti yanafichua “kukosekana kwa…

Read More

WAANDISHI WASIO NA ITHIBATI WAONYWA

 ……. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imesema itaendesha ukaguzi maalumu katika vyombo vya habari na maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kujiridhisha kuwa watu wote wanaotekeleza majukumu ya kihabari wanakidhi vigezo vilivyoainishwa kwa mujibu wa sheria.  Bodi hiyo imesema imebaini kuwa kuna baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kihabari…

Read More

TAKUKURU YAKAMATA RAIA WA CHINA WAKIWA NA FEDHA HARAMU

……… Taasisi ya Kuzuia Na Kupambana na Rushwa -TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni Dar es salaam imewakamata Raia wa China Yao Licong na Wang Weisi wakazi wa Oysterbay Apartments Kinondoni Dar es salaam wakiwa na fedha haramu zaidi ya shilingi bilioni mbili.   Akizungumza leo jijini Dar es salaam Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni Christian…

Read More

Yanga Princess yaiadhibu Mashujaa Queens WPL

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imeendelea leo zikipigwa mechi tano ikiwemo ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa ambapo Wananchi hao waliondoka na ushindi wa mabao 4-1 Uwanja wa Azam Complex Chamazi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Asha Djafari dakika ya tisa. Asha amesajiliwa kikosini hapo hivi karibuni na mechi ya leo ilikuwa ya pili kwake,…

Read More