SERIKALI YAAINISHA ORODHA YA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WAGENI

……………… ▪️Ni utekelezaji wa maelekezo ya Mh Rais Samia juu ya ushiriki wa watanzania kwenye sekta ya madini ▪️Ni kupitia Marekebisho ya Kanuni ya Ushirikishwaji Watanzania Sekta ya Madini ▪️Manunuzi na Bidhaa Migodini Yafikia Shilingi Trilioni 5 mwaka 2024 ▪️Waziri Mavunde ataka Sekta Binafsi kuchangamkia fursa  Dodoma  Serikali kupitia Wizara ya Madini imetangaza rasmi orodha…

Read More

Usajili dirisha dogo, Mashujaa yamsikilizia Mayanga

MABOSI wa Mashujaa FC ya Kigoma bado wanakuna vichwa kuhusu usajili wa dirisha dogo, huku wakisisitiza kwamba wanasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kuwa na uhakika wa nini kifanyike wakati huu. Mashujaa FC imeanza vyema Ligi Kuu Bara msimu huu ikikamata nafasi ya nne ikiwa na alama 13 katika michezo tisa, huku ikiwa imeshinda…

Read More

HATUWADAI: Taifa Stars ilivyoaga AFCON kwa heshima

TAIFA Stars imehitimisha safari yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) katika hatua ya 16-Bora baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya timu Na.1 kwa ubora wa barani Afrika, Morocco katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah mbele ya maelfu ya mashabiki waliofurika. Matokeo hayo, ingawa yanaumiza, hayaondoi ukweli kuwa Tanzania…

Read More

Bashiri Leo Upate Samsung A26 na Meridianbet

Nafasi ya ushindi hii hapa na wakali wa Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia 5000 na ubashiri hapa. Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kutoa promosheni zenye thamani halisi kwa wachezaji wake. Kupitia kampeni yake mpya, kampuni hii inaleta fursa murua kwa mashabiki wa mpira kushiriki…

Read More