Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1
Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1 – Global Publishers Home Habari Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1
Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1 – Global Publishers Home Habari Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1
Unguja. Wakati mazingira na miundombinu vikiboreshwa, Zanzibar imepanga kusajili miradi isiyopungua 150 ya uwekezaji kila mwaka kupitia Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA). Hayo yameelezwa leo, Januari 5, 2026, na Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, katika siku ya uwekezaji iliyoandaliwa kwenye maonyesho ya Zanzibar International Trade Fair (ZITF) yanayoendelea katika Viwanja vya…
KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema timu itafanya mazoezi kwa wiki moja, huku ikiangalia ni mkoa gani ikienda itapata mechi za kirafiki kwa urahisi kabla ya kurejea mechi za ligi. Ratiba inaonyesha Dodoma Jiji itakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons katika mechi itakayopigwa Januari 22, jambo ambalo kocha huyo amesisitiza wanahitaji kupata pointi tatu, hivyo…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 5, 2025 – Global Publishers Home Magazeti Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 5, 2025
Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamsaka Helakumi Kacheri kwa tuhuma za kumuua mkewe, Sofina Elipisini (27), mkazi wa Singisa, wakiwa shambani, huku chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema mtuhumiwa alimuua mkewe kwa kumshambulia na silaha yenye makali sehemu mbalimbali za mwili, akimtuhumu kuendeleza uhusiano na…
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema kuwa suala la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeendelea kuwa kipaumbele,ambapo Wizara hiyo imefanya marekebisho ya kanuni ya Ushirikishwaji wa wazawa ya mwaka 2018 ambapo Tume ya Madini itatangaza kupitia kanuni ya 13A orodha ya bidhaa na huduma ambazo zinatakiwa kutolewa na…
Nilihangaika Kwa Miaka Mitatu Kwenye Ndoa Bila Kupata Mtoto, Mbinu Hii Ikanisaidia – Global Publishers Home Habari Nilihangaika Kwa Miaka Mitatu Kwenye Ndoa Bila Kupata Mtoto, Mbinu Hii Ikanisaidia
Furahia Mwaka Mpya Kwa Ushindi Usio Kawaida na Meridianbet Holiday Drops – Global Publishers Home Burudani Furahia Mwaka Mpya Kwa Ushindi Usio Kawaida na Meridianbet Holiday Drops
Man United Yamtimua Kocha Ruben Amorim, Fletcher Kushika mikoba kwa muda – Global Publishers Home Michezo Man United Yamtimua Kocha Ruben Amorim, Fletcher Kushika mikoba kwa muda
MSHAMBULIAJI wa Zimamoto ya Zanzibar, Seleman Mgaza ameziingiza vitani timu mbili za maafande wa JKT Tanzania na KMC, ambazo zimeonyesha nia ya kumhitaji katika dirisha hili dogo, huku mazungumzo kati ya pande hizo yakiendelea. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata zinaeleza Mgaza ambaye katika dirisha lililopita alikuwa akihitajika na Geita Gold na TRA United (zamani Tabora United),…