Dkt. Mwigulu Afungua Skuli Ya Chukwani Zanzibar
Dkt. Mwigulu Afungua Skuli Ya Chukwani Zanzibar – Global Publishers Home Habari Dkt. Mwigulu Afungua Skuli Ya Chukwani Zanzibar
Dkt. Mwigulu Afungua Skuli Ya Chukwani Zanzibar – Global Publishers Home Habari Dkt. Mwigulu Afungua Skuli Ya Chukwani Zanzibar
_Ampongeza Dkt. Mwinyi kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu._ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Ujenzi wa skuli hiyo ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.1 imeanzishwa kwa lengo la kuwaandaa vijana wenye…
Caracas. Ikiwa ni siku moja imepita tangu vikosi vya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro, Serikali ya Venezuela imetoa ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa na hasa kwa Marekani, ikisisitiza dhamira yake ya kudumisha amani, kuishi kwa kuheshimiana na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa bila vitisho. Katika taarifa iliyochapishwa katika mitandao ya kijamii leo Jumatatu Januari 5, 2026…
Musoma. Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia akiwamo mtumishi wa Wizara ya Maji, Rochi Mkolekuwa (39), baada ya nyumba kuteketea kwa moto Mtaa wa Nyarusrya, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara. Mbali na Mkolekuwa aliyekuwa Meneja wa Ubora wa Maji katika Maabara ya Mkoa wa Mara, wengine waliofariki dunia ni mkewe, Mariam Msigwa (34)…
WAKIJIANDAA kwa mechi ya mwisho kuhitimisha kundi A ambayo imebeba hatma ya kila mmoja wao, nyota wa URA, Mulikyi Hudu ameitumia salamu Azam FC kwa kusema, ijiandae kupokea maumivu na si kingine. Timu hizo zitakutana leo Jumatatu saa 10:15 jioni kwenye Uwanja wa New Amaan Unguja katika Kombe la Mapinduzi. Hudu ambaye alitangazwa kuwa mchezaji…
LEO Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada ya dakika tisini, tunaweza kushuhudia jambo kubwa sana. Nalo si jingine bali mechi ya nusu fainali inayoweza kuzikutanisha Azam dhidi ya Simba endapo tu timu hizo zote leo zitaibuka na ushindi. Ipo hivi. Leo saa 10:15 jioni, Azam inacheza na URA…
KABLA ya jana jioni Yanga haijacheza dhidi ya KVZ, kuna mastaa wawili katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 walikuwa wamefunika kwa kubeba tuzo nyingi. Mastaa hao ni Morice Chukwu wa Singida Black Stars na Yakoub Said Mohamed ambao katika mechi za hatua ya makundi, kila mmoja amebeba tuzo mbili. Chukwu ambaye anacheza eneo la…
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, anatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Marekani leo baada ya kukamatwa mwishoni mwa wiki na vikosi vya Marekani, huku Rais wa Marekani, Donald Trump, akiweka wazi uwezekano wa uvamizi mwingine iwapo Marekani haitapata inachokitaka kutoka kwa kiongozi wa mpito wa nchi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumapili, Trump alisema anaweza…
Dar es Salaam. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limewataka wavuvi na wasafirishaji kwa njia ya maji, kuchukua tahadhari ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi kuanzia leo Jumatatu Januari 5, 2026 hadi Januari 8 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa ya Tasac kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Jumapili Januari…
NA MWANDISHI WETU,NAIROBI VIJANA nchini Kenya wamewapongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto kwa uongozi wao thabiti na juhudi kubwa wanazoendelea kuzionesha katika kuwatumikia wananchi wao, licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kijamii katika…