Dkt.Temba awaunganisha vijana Kenya, wampongeza Rais Dkt.Samia na Ruto
NA MWANDISHI WETU,NAIROBI VIJANA nchini Kenya wamewapongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto kwa uongozi wao thabiti na juhudi kubwa wanazoendelea kuzionesha katika kuwatumikia wananchi wao, licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kijamii katika…