Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wanaodaiwa kuhusika katika matukio tofauti ya mauaji na ukatili wa kijinsia yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Mkoa Morogoro imesema kuwa Januari 4, 2026 walimkamata Helakimu Joseph Kacheli (50), mkulima na mkazi wa kijiji cha Sesenga, kwa tuhuma…