Morogoro, Manyara, Zanzibar waanika fursa maeneo ya uwekezaji
Unguja. Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika maeneo yao na kuwahimiza wawekezaji kuwekeza katika sekta za kilimo, ufugaji, viwanda na uchumi wa buluu. Inaelezwa kuwa lengo ni kukuza biashara na kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya maeneo husika na taifa kwa ujumla. Fursa hizo zimewasilishwa katika mdahalo uliofanyika leo,…