Huu ndo mtego pekee mgumu Yanga
HAKUNA kitu kinachosubiriwa kwa hamu na Wanayanga kwa sasa kama kuiona timu yao ikipata ushindi mbele ya JS Kabylie ya Algeria na kufuzu hatua ya robo fainali kutoka Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kuna rekodi ya kutisha nyuma ya pambano hilo linalopigwa Jumapili. …