Wananchi Arusha watoa dukuduku kwa tume Jaji Chande

Arusha. Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameitaka Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuhakikisha mapendekezo itakayowasilisha yanagusa kwa kina suala la mabadiliko ya Katiba. Wamesema mabadiliko ya Katiba ndio chanzo kikuu cha malalamiko na machungu yaliyoibuka na kusababisha vurugu za Oktoba 29, 2025 baada ya kukosekana…

Read More

Fursa Zilizopotea za Kukomesha Kupanda kwa Matumizi ya Kijeshi – Masuala ya Ulimwenguni

Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwezi uliopita, inataka kurekebishwa upya kwa mikakati ya usalama na maendeleo ya kimataifa, kutanguliza diplomasia na ushirikiano wa kimataifa ili kubadili mwelekeo wa sasa wa kuongezeka kwa matumizi ya kijeshi. Credit: UNDP Maoni na Alice Slater (new york) Jumanne, Januari 06, 2026 Inter Press Service Alice Slater anahudumu katika…

Read More

Fufuni yahamishia hasira Ligi Kuu Zanzibar

WAHENGA wanasema kuvunjika kwa Koleo si mwisho wa uhunzi. Msemo huo ameondoka nao Kocha Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohamed maarufu Mani Gamera au Govinda, baada ya kushuhudia kikosi chake kikiishia hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi 2026. Fufuni iliyoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza, ilikuwa kundi B ikianza na sare ya 1-1 dhidi ya…

Read More

Mido ya Kagera yaibukia Mbeya City

MBEYA City inaendelea na maboresho katika dirisha dogo lililofunguliwa kuanzia Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa kikosi hicho cha jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Said Naushad. Naushad anayeichezea Kagera Sugar inayoshiriki Ligi ya Championship kwa msimu huu, tayari yupo jijini Mbeya kwa ajili ya kukamilisha usajili huo, ambapo mazungumzo ya…

Read More

SERIKALI YAJIDHATITI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga, amesema Serikali imejidhatiti kuhakikisha inafufua viwanda vilivyopo mkoani Tanga, kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa wakati wa ziara yake mkoani humo likiwa na Lengo ni kurejesha hadhi ya Tanga kuwa mkoa wa viwanda kama ilivyokuwa awali. Akizungumza…

Read More