SERIKALI YAJIDHATITI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga, amesema Serikali imejidhatiti kuhakikisha inafufua viwanda vilivyopo mkoani Tanga, kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa wakati wa ziara yake mkoani humo likiwa na Lengo ni kurejesha hadhi ya Tanga kuwa mkoa wa viwanda kama ilivyokuwa awali. Akizungumza…

Read More

Mastraika waiangusha Muembe Makumbi City

KITENDO cha Muembe Makumbi City kufunga bao moja katika mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lawama ziende kwa washambuliaji wakiongozwa na Abdallah Idd Pina. Muembe Makumbi iliyokuwa kundi B, imeondoshwa mashindanoni ikiwa na pointi moja iliyoipata mechi ya kwanza dhidi ya Fufuni katika sare ya 1-1, kabla ya kuchapwa 1-0 na Simba. Kocha wa Muembe…

Read More

KVZ Yaondoka na somo Yanga Mapinduzi Cup

POINTI moja waliyokusanya KVZ walipocheza dhidi ya TRA United, kisha wakafungwa 3-0 na Yanga, kuna funzo kubwa wamelipata makamanda hao wa Kikosi Cha Valantia Zanzibar. KVZ iliyokuwa kundi C, imeaga mashindano ikiwa na pointi moja, huku leo Jumanne ikifahamika timu gani itafuzu nusu fainali pale Yanga yenye pointi tatu itakapocheza na TRA United iliyokusanya pointi…

Read More

Kinda Azam atabiriwa makubwa | Mwanaspoti

ALICHOKIFANYA kinda wa Azam FC anayecheza nafasi ya beki wa kati, Twalibu Nuru, kimemfanya kocha wa kikosi hicho, Florent Ibenge kumtabiria siku si nyingi ataitumikia Taifa Stars. Kinda huyo ameonyesha kiwango kizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, huku Azam ikifuzu nusu fainali ikienda kucheza…

Read More

Simbu kushiriki Burji2Burji Half Marathon

MWANARIADHA wa Alphonce Simbu anatarajiwa kushiriki mbio za Burji2Burji Half Marathon zitakazofanyika Dubai, Februari 8, mwaka huu, akiwa miongoni mwa wanariadha maarufu wa kimataifa. Mbio hizo zitakuwa sehemu ya maandalizi yake kuelekea Boston Marathon mwezi Aprili zikimuwezesha kuendelea na ushindani wa kiwango cha juu. Simbu anaingia Dubai akiwa na hadhi ya bingwa wa dunia wa…

Read More