ACT- Wazalendo yatanguliza mguu SUK

Dar es Salaam. Chama cha ACT – Wazalendo kimeshatanguliza mguu mmoja mbele kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), huku majadiliano ya makubaliano yakielekea hatua za mwisho. Hatua hiyo imefikiwa baada ya juhudi mbalimbali zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kushawishi na kuanza kutekeleza baadhi ya masharti yaliyowekwa na chama hicho ili…

Read More

Waziri Sangu azuru Bakwata, atambulisha jukumu jipya

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujitambulisha kwa viongozi wa Baraza hilo pamoja na kulitambulisha jukumu jipya la uhusiano ambalo Wizara yake imekabidhiwa kuratibu. Sangu…

Read More

Uchaguzi mwingine mdogo kufanyika Kilimanjaro, Morogoro

Dar es Salaam. Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na Kata ya Mindu, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro. Kulingana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), wapigakura waliopo kwenye daftari…

Read More

Morogoro, Manyara, Zanzibar waanika fursa maeneo ya uwekezaji

Unguja. Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika maeneo yao na kuwahimiza wawekezaji kuwekeza katika sekta za kilimo, ufugaji, viwanda na uchumi wa buluu. Inaelezwa kuwa lengo ni kukuza biashara na kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya maeneo husika na taifa kwa ujumla. Fursa hizo zimewasilishwa katika mdahalo uliofanyika leo,…

Read More

Sakata la Yona lachukua sura mpya, afanya uamuzi

WAKATI tetesi za usajili za kunyemelewa na vigogo Simba na Yanga zikizidi kushika kasi, kipa tegemeo wa Pamba Jiji, Yona Amosi inadaiwa hajaripoti kambini jijini Mwanza ambako timu hiyo inaendelea na mazoezi. Pamba ilirejea kambini tangu Desemba 29, mwaka jana ikijifua kwenye Uwanja wa Nyamagana ikijiandaa na ngwe nyingine ya Ligi Kuu Bara inayorejea upya…

Read More

Wanaharakati Uganda washitushwa na ukamataji kuelekea uchaguzi

Kampala. Kukamatwa na kisha kuwekwa rumande kwa Sarah Bireete, mtetezi mashuhuri wa haki za binadamu na mtaalamu wa masuala ya utawala, kumesababisha mshtuko mkubwa ndani ya jumuiya ya kiraia nchini Uganda. Mwanaharakati huyo amekamatwa zikiwa zimebaki takribani siku 10 kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Januari 15, 2026, huku Rais Yoweri Museveni akikabiliwa na upinzani mkali…

Read More

Sakata la Yona lachukua sura mpya, achukuwa uamuzi

WAKATI tetesi za usajili za kunyemelewa na vigogo Simba na Yanga zikizidi kushika kasi, kipa tegemeo wa Pamba Jiji, Yona Amosi inadaiwa hajaripoti kambini jijini Mwanza ambako timu hiyo inaendelea na mazoezi. Pamba ilirejea kambini tangu Desemba 29, mwaka jana ikijifua kwenye Uwanja wa Nyamagana ikijiandaa na ngwe nyingine ya Ligi Kuu Bara inayorejea upya…

Read More