Kikwete aridhishwa na miradi ya maendeleo Pemba

Pemba. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kisiwani Pemba hatua iliyoimarisha utoaji wa huduma za kijamii, kukuza uchumi na kuongeza kipato cha wananchi. Kikwete amesema hayo leo Jumatatu, Januari 5, 2026, alipozungumza na wananchi baada ya kuzindua Ofisi ya Uhamiaji Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi huo ni miongoni…

Read More

Mradi wa EACOP wafikia asilimia 79, kukamilika Julai 2026

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga (EACOP) umefikia asilimia 79 na utakamilika Julai 2026. Kukamilika kwa mradi huo ni baada ya takribani miaka 10 ya utekelezaji wake unaohusisha ujenzi wa bomba la inchi…

Read More

Starlink yasitisha huduma za intaneti Uganda

Kampala. Mtoa huduma wa intaneti ya setilaiti, Starlink, amesitisha upatikanaji wa mtandao wake wa kimataifa nchini Uganda. Hatua hiyo imesababisha vifaa vyote vya Starlink vilivyokuwa vinatumika nchini humo kusitisha kazi kuanzia Januari 1, 2026, kufuatia agizo la Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) kuhusu matumizi ya huduma za setilaiti zisizo na leseni. Katika barua ya…

Read More

Matumizi ya Kijeshi ya Anga ya Juu Yanadhoofisha Msaada wa Maendeleo kwa Maskini Ulimwenguni – Masuala ya Ulimwenguni

na Thalif Deen (umoja wa mataifa) Jumatatu, Januari 05, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Januari 5 (IPS) – Takwimu zinashangaza: wakati matumizi ya kijeshi yanazidi kuongezeka, Msaada Rasmi wa Maendeleo (ODA)– kutoka kwa matajiri hadi baadhi ya mataifa maskini zaidi duniani–umekuwa ukipungua kwa kiasi kikubwa. Kulingana na Karatasi ya Ukweli iliyotolewa na Umoja…

Read More

Upelelezi wakwamisha kesi ya mauaji ya Mobe

Musoma. Kesi ya mauaji ya Rhoda Mobe (42) aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Burunga Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeahirishwa hadi Januari 19, 2026 kwa kuwa upelelezi haujakamilika. Kesi hiyo ambayo leo Jumatatu Januari 5, 2026  ni mara ya tatu kusomwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma  inahusisha  washtakiwa wawili, mmoja akiwa ni mwalimu wa…

Read More

Kanisa la TMC latoa mkono wa pole Mpwapwa

‎Mpwapwa. Kanisa la Tanzania Methodist (TMC) limetoa mkono wa pole kwa washirika wa kanisa hilo waliopata majanga ya nyumba zao kuezuliwa na mvua yenye upepo mkali iliyonyesha Desemba 18, 2025 wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. ‎Kanisa hilo limetoa msaada wa vifaa vya ujenzi kama mabati, misumari na mbao, vyandarua 200 vyenye dawa ya kuua mbu na…

Read More

DKT. MWIGULU AFUNGUA SKULI YA CHUKWANI, ZANZIBAR

_Ampongeza Dkt. Mwinyi kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu._ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Ujenzi wa skuli hiyo ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.1 imeanzishwa kwa lengo la kuwaandaa vijana wenye…

Read More